Video
MAOMBI YANAYOSIKILIZWA NA MUNGU
| Video
https://youtu.be/CwirYEJHmQ4?si=HJtT4_2zd2wFEaY1Sio kila maombi ni sahihi mbele za Mungu, na sio kila maombi hujibiwa mbele za Mungu. Jifunze kanuni na mbinu za kuomba ili uone matokeo ya maombi yako. umeomba sana sana sana ila kwanini bado haujajibiwa, na Mungu sio kiziwi - anakusikia unavyoomba ila kuna utofauti wa usikivu kwake, huenda anasikia makelele tu wakati unaomba....who knows
SADAKA