Makala
TOFAUTISHA NDOTO NZURI NA MBAYA:
| Makala

TOFAUTISHA NDOTO NZURI NA MBAYA:
Zipo dalili nyingi zinazoweza kukujulisha kuwa ndoto uliyoiota ni mbaya na inatakiwa kushughulikiwa haraka,ila dalili mojawapo ni roho yako kufadhaika baada ya kuamka usingizini.
Mtu wa Mungu hakikisha haudharau na haufanyi utani na ndoto.
Ndoto ni mlango halisi wa kiroho ambao unatumiwa na ulimwengu wa roho {nuru au giza} kupitia ujumbe kuhusu mambo yanayotakiwa kutokea maishani mwako.
Ayubu 33:15
Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu wasinziapo vitandani mwao.
Ibada zet zinafanyika kwa njia ya mtandao kila siku usiku saa SITA KAMILI kupitia Youtube Channel ya SIRI ZA BIBLIA
Namba ya msaada wa kiroho,maombi na maombezi;
+255 758 708804
Pastor Innocent Mashauri
SADAKA